Ukifatilia refarii mmoja mmoja utakuta wengi ni mapolisi, askari magereza, wanajeshi na vyeo vya chini wengine mafundi umeme, makarani wa ofisi mbalimbali, wengine wa mtaani. Kifupi wote hawa ni waganga njaa.
Hilo ndilo linalopelekea marefa kuja kuchonga laini ya pesa (rushwa) kwenye fani hii ya mpira wa miguu, kwa hilo chama cha waamuzi wawe makini na waamuzi wao.
Nawasilisha