Tusiwalaumu TBC kutokurusha mechi zote za kombe la Dunia

Tusiwalaumu TBC kutokurusha mechi zote za kombe la Dunia

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Husikeni na somo tajwa hapo juu.
Nimeona watu wakilaumu kituo cha Taifa kutokurusha mechi zote live.

Kama ulikuwa hujui TBC wamepewa idhini ya kurusha mechi za bure (Free To Air - FTA).

Ili kuona mechi zipi zitarushwa na TBC angalia hapo kwenye ratiba ukiona FTA ndiyo ujue hiyo ndiyo itarushwa. Ni utaratibu uliowekwa na FIFA wenyewe kuwa tv za taifa kwa kila nchi zimeruhusiwa kurusha mechi za bure walizopanga wao na sio maamuzi ya kituo cha Taifa kuamua irushe mechi ipi.
JamiiForums1989226493.jpg
 
Back
Top Bottom