Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
Habari wana jf.
Wana jf em tusiwe wanafki juu ya alichokizungumza kiongozi wa upinzani Mh Tindu Lissu katika hotuba yake ya mwisho.
Hivi kama kweli sheria hairuhusu/haimruhusu Rais kutengua au kuongeza mda kwa jambo alilotoa Sasa imekuaje kwa katiba?
Kwa mujibu wa hotuba ya Lissu na kwa mujibu wa sheria kama alivosema Sheria haiwaruhusu NEC kuongeza mda kwa kura ya maoni,Sasa imekuaje kwa katiba?
Hivi hii serikali ya CCM ni lini wataipitisha hii katiba yao?
JK aliahidi kuwapatia watanzania katiba kwenye ile siku ya GOLDEN JUBILEE hatimae GOLDEN JUBILEE ilipita bila kutupatia hiyo katiba.
JK akaahidi tena kwa mara ya pili kwamba tar 30/04/2015 atawapatia watanzania katiba (?????) hatimae imeahirishwa tena.
Kwa sasa JK pamoja ya serikali yake bado wanasema kwamba wataipatia Tanzania katiba na siku hawaijui.
hahahaha! Ivi jamani yani sheria waitunge wao afu waivunje wao na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa..
Je tutafika kwa kutumia hii serikali ya CCM?
Nawasilisha.