Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 262
- 361
Hellow wana JF.
Leo nimeamua kushusha ki uzi hiki ili tuweze kukumbuka kwamba tunatofautiana katika upeo/maarifa au uelewa wa mambo. Na hii inajidhihirisha katika maelezi na makuzi tunayoyapata kutoka kwa wazazi ama walezi wetu.
Katika dunia ya leo watu, tumekuwa wepesi sana kukimbilia kujaji au kuwalaumu watu wengine kutokana na mienendo au matendo wanayofanya pasipo kujiridhisha kwa kina ni kwanini kafanya ivo, yaani inshort watu tunafanya judgement based on our mindset and mind boundaries tunasahau kwamba kila mmoja ananamna yake ya kuona mambo na kufanya. Na wengine wanafanya vitu ambavyo pengine ni viovu kwa sababu ambazo hatakama amekosea vipi sababu hizo zitakugusa kwa namna moja ama nyingine.
Kuna kisa kimoja kiliwahi kutokea Mkoani Mara wilaya ya Musoma, Kuna Baba mmoja alipatwa na majaribu makubwa sana kiasi kwamba alikaribia kuchanganyikiwa, alikuwa na familia ya watoto wanne pamoja mama yake mzazi aliekuwa anaumwa ugonjwa wa kiharusi. Jamaa huyo alikuwa anafanya vibarua na shughuli za kuuza mkaa na kupitia hilo ndio aliweza kumudu mahitaji ya familia yake. Sasa kwa bahati mbaya sikumoja akiwa katika shughuli zake mtaani ghafra alipigiwa kelele za mwizi na kwa bahati mbaya wanainchi wenye hasira kali walijikeza na kumpiga mpaka mauti yakamkuta.
Kwa kisa hiki kifupi tunaona kwamba jamaa huyu anapoteza maisha kwa kupigiwa kelele za mwizi wakati uhalisia uliopo jamaa hakuwa mwizi alikuwa ni mtu maskini anaejitaftia kwa jasho lake halali, wakati huo huo tusisahau mama yake mzazi anaumwa kiharusi na kijana huyu ndie alikuwa nguzo yake, mbali na hapo alikuwa na watoto wanne ambao wote walitegemea kufikia ndoto zao kupitia nguvu za baba yao ambae ameuawa kikatili kutokana judgement ya ovyo ya mtu fulani..
Hivyo ndugu zangu nawasihi sana tujitahidi sana kuepuka kumjaji mtu based on our perception, kuna watu wengi tunawaumiza, kuna talent nyingi tutapoteza, kuna mengi mabaya yanaweza kutokea.
Ahsanteeni sana kwa kusoma ki uzi hiki