Tusker challenge cup Final: Uganda vs Rwanda

refaa wa leo anatokea somalia. Je mazoezi kapatia wapi wakati SOMALIA HAKUNA RIGI?
Naam, Mpira umeisha dakika 90.
UGANDA 2 - 2 RWANDA.
MIA
 

Lol! Kweli Afrika maskini, yaani mshindi atapata vihela kidogo hivyo?
 
oroya kacheza vizuri akampasia okwi okwi kampa ton maweje akapaisha . pale ningekuwa mimi ningefunga kulahisi. mia
 
emanuel Okwi kakosa goli la wazi. yeye na kipa ndani ya 18 na kipa kaidaka. okwi anaishia kujishika kichwa. Mia
 
olivia karekezi na kagere karekezi wa rwanda ni mapacha na wote wana magoki 5. Mia
 
haruna nionzima ni mchezaji mzuri sana. hadi crushwise nafikili kaona mambo yake hapa uwanjani. Mia
 
rwanda wamechachama katika muda huu wa nyongeza...wamefanya mashabulizi kama matatu hivi makali sana
 
Micho alikuwa anaifundisha Yanga, sasa hivi anaifundisha timu ya taifa ya rwanda na wachezaji wanacheza mpira mzuri. Yanga wanajua kuchagua makocha si kama simba eti sijui wameleta kocha gani safari hii. Mia
 
dk 15 za kwanza za muda wa nyongeza zimekwisha mabao bado ni 2-2
 
dk 15 za pili ndio hizo zimeanza, nadhani mchezo utaamuliwa kwa penati ingawa rwanda kwa maoni yangu wanastahili kuwa mabingwa kwa kiwango kikubwa walichoonesha
 
second half ya extra time imeshaanza, bado 2-2
 
bado dakika 5 tuingie kwenye penalti. namuona patrick ochen kakonda sana, inaonekana mazoezi ya tp mazembe si mchezo. Mia
 
kauli mbiu ya RWANDA ni;
*UBUMWE-umoja
*IBIKOGWA-kazi
*NA MAJAMBELE- maendelo
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::.
kauli mbiu ya TANZANIA ni;
*TUMETHUBUTU
*TUMEWEZA
*NA TUNASONGA MBELE.
na hii tumedhihilisha katika michuano ya cecafa. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…