Tusker Cup 2009

Game over! Yanga wins Tusker cup by 2 goals to 1.
@ baba mkubwa haya bwana nyie ndo wa 1 simba wa 3.
Come on Arsenal we need to beat A. villa to pope manure out of 2nd position.
 
game over! Yanga wins tusker cup by 2 goals to 1.
@ baba mkubwa haya bwana nyie ndo wa 1 simba wa 3.
Come on arsenal we need to beat a. Villa to pope manure out of 2nd position.
yanga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
 
yanga wapo vizuri kwa sasa kocha papic yupo fit kuchukua mikoba ya maximo
 
sofapaka wanataka kufanya fujo lakini vijana wa FFU wanadhibiti hali wakiwa na lile gari 'kikojozi' tayari tayari. wakati huo huo mwali anawekwa tayari ili mwenye apewe!
 
Samahan wana yana. A goal by th substitute Fabregas' free kick.Arsnl 1 A villa 0.
 
Jerry Tegete mfungaji bora
Yanga imepewa 40m
Sofapaka 20m
Simba 10m
 
Samahan tena wana yanga kwa kuingilia party yenu. Another goal by fabregas we is substituted. Arsnl 2 A. Villa 0.
@ least ma day ends perfectly. As i write this Diaby adds 3rd goal. Arsn 3 Villa 0.
Wakuu wa yanga wher th part is at?!
 

IT'S ALL SMILES: Young Africans captain Abdi Kassim receives the Tusker Cup from the Minister for Information,Culture and Sports George Mkuchika after his team had beaten Kenya's Sofapaka 2-1 in the final at the Uhuru Stadium in Dar es Salaam today. Looking on is the President of the Tanzania Football Federation (TFF) Leodegar Tenga. (Photo by Yusuf Badi).



Tusker Cup goes to Jangwani
 
 
Alianza Simba tukamchutamisha...
Akaja paka akabong'oa...
Whoz nxt?
 
YANGA yawa bingwa kwa kuuwa PAKA NA SIMBA
 
Tehe tehe eeee,leo simba wamemvua mtu uanachama kwenye kikao cha tathimini ya kufungwa na Yanga,simba bwana,angalieni,ligi kuu iko pale pale,msijeshangaa mnakosa kombe hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…