nakubaliana na mtoa mada kwa kiasi fulani, wengine tulioizoea hii kitu tumegundua kunatofauti kubwa sana, kati ya tusker under tbl na tusker under sbl. Kwa mimi naona kama tusker ina ladha sawa sawa na serengeti bia, tusker mpya ni chungu kama serengeti, yes in hangover kuliko ile ya zamani tuliyoizoea........!
Kama consortium ya wanywaji wa tusker tulikuwa tunafikiria kuchukua hatua za kisheria kwa sbl kutumislead wanywaji wa tusker bia! Kwa sababu kama ulizoea kunywa say, chupa 10 za tusker unakuwa fit leo hii ukinywa tusker chupa 10 (mpya) unakuwa hoi bin taabani......sijui chemistry wameifanyaje hapo.......!
kipi kimekuzuia kushtaki? As a customer you should have done it arleady.do it now and be proud.
Nakubaliana na mtoa mada kwa kiasi fulani, wengine tulioizoea hii kitu tumegundua kunatofauti kubwa sana, kati ya Tusker under TBL na Tusker under SBL. Kwa mimi naona kama Tusker ina ladha sawa sawa na Serengeti bia, tusker mpya ni chungu kama serengeti, yes in hangover kuliko ile ya zamani tuliyoizoea........!
Kama consortium ya wanywaji wa tusker tulikuwa tunafikiria kuchukua hatua za kisheria kwa SBL kutumislead wanywaji wa tusker bia! kwa sababu kama ulizoea kunywa say, chupa 10 za tusker unakuwa fit leo hii ukinywa tusker chupa 10 (mpya) unakuwa hoi bin taabani......sijui chemistry wameifanyaje hapo.......!
Unajua capacity ya kiwanda pale chang'ombe ni ndogo kwa hivo bia zinauzwa zikiwa mbichi.....yaani staright from factory to mudomo....hutakiwa zikae kidogo store zijenge ladha