Baada ya TBL kutoa Bia pendwa ya Castle Lite (CL) Serengeti Breweries (SBL) wameingia sokoni na Tusker Lite(TL). Hata hivyo, inaonekana wanywaji wengi wa Castle Lite ambao wamejaribu TL ikiwemo mimi mwenyewe wamekuwa na maoni tofauti. Wengi wanasema TL inakaharufu ka kimea/ ugali. Binafsi nilizoea pia kunywa Tusker wakati ikitengenezwa na TBL lakini ilivyoanza kutengenezwa na SBL ilipoteza radha mdomoni na ilinilazimu nianze kunywa Castle mpaka pale CL ilipoingia sokoni.
Castle lite imetengenezwa kwa kutumia ingredients ambazo ni water,barley malt,maize & hops ambapo hops ni kwa ajili ya ladha/uchachu,also inategemea na preservation za ingredients hizo. Waombe Mods waweke poll hapo juu