Tusker Project Fame is back!

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika.

Kwa walio nyumbani waangalie TBC1
 
Yeah! peter kashaingia ila Leah inabid apiganie nafasi yake la sivyo anarudi Bongo kusubiri kumpigia kura Dr Slaa......
 
Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika.

Kwa walio nyumbani waangalie TBC1

asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi?
 
leah amepita, atakuwa ndani ya nyumba ya tusker project fame
 
msechu yupo bana tena kwa kweli anaimba vizuri sana ila anahitajika kuimba nyimbo zake kwa lugha ya kiingereza coz anatumia sana kiswahili,
 
Hivi ilikuwaje yule Tom wa Uganda akawa evicted jana, maana sikuona shoo iliyopita na TBC1 siku hizi haiko stable inakatikakatika sana yaani mtu unashindwa kufurahia shoo. sijui nao wanamatatizo gani au ndio mtambo imechakachuliwa kichina china!
 
asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi?

Msechu naona kama anajitahidi kwa Lugha ..Leah pia nilimsikia sikia ingawa si sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…