babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Jul 18, 2011 #21 hongera sana big boss kwa uzalendo wako,ni wachache sana wanaweza kuangalia vipindi ambavyo hata hawavielewi
hongera sana big boss kwa uzalendo wako,ni wachache sana wanaweza kuangalia vipindi ambavyo hata hawavielewi
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jul 18, 2011 #22 Tusker Bariiiidi said: Kunywa Tusker kisha chini ya kizibo kuna Nambari zilizojificha tuma kwenye number iliyo kwenye Mabandiko... Click to expand... hahahahahahaahah lolz asante sana mmmhhhh eti kuna chakula ca tusker au ni hii tu ??
Tusker Bariiiidi said: Kunywa Tusker kisha chini ya kizibo kuna Nambari zilizojificha tuma kwenye number iliyo kwenye Mabandiko... Click to expand... hahahahahahaahah lolz asante sana mmmhhhh eti kuna chakula ca tusker au ni hii tu ??
myao wa tunduru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2010 Posts 614 Reaction score 235 Jul 18, 2011 #23 TPF all stars..wakali watupu..hemed kaingia kama mshiriki aliyeleta msisimko na kuongeza idadi ya watazamaji!alpha karudishwa kama aliyewahi kuwa mshindi!kifupi ni game ya wakali watupu mambwiga hawana nafasi
TPF all stars..wakali watupu..hemed kaingia kama mshiriki aliyeleta msisimko na kuongeza idadi ya watazamaji!alpha karudishwa kama aliyewahi kuwa mshindi!kifupi ni game ya wakali watupu mambwiga hawana nafasi