Yaani nyie kila kitu ni ufisadi??????tusker sio shindano la bongo flavour,
english na nyimbo za kizungu ndo zinapewa kipaumbele
shindano la bongo flavour lipo itv.....linaitwa bongo star search
wabongo tunavurunda kwa sababu wanaojitokeza kwenda tusker sio wengi sana,na watanzania wengi wanatazama bongo star search na sio tusker pf.sababu moja ni lugha inayotumika kuendesha shindano hilo,na kwa kuwa watanzania wengi hawatazami na kura za watanzania zinakuwa chache so wakenya wanakuwa na advantage,
Kiongozi hapo hata mimi naku suport. Na kingine ni kuwa hawa wenzetu wanatumia zaidi lugha ya kiingereza na hiyo ni advantage kwao coz hata nyimbo zinazoimbwa pale ni kiingereza tu. Sisi mpaka ufikrie kwa kiswahili halfu utafsiri kwa kiingereza.
TBC1 na nikila jumapili saa 2:00 usiku.
ahahaha umenichekesha.....hamna mbona hao participants wa tz wanaimba vizuri tu.... I dont think ni kiingereza, vocals zao ziko weak
Kiongozi hapo hata mimi naku suport. Na kingine ni kuwa hawa wenzetu wanatumia zaidi lugha ya kiingereza na hiyo ni advantage kwao coz hata nyimbo zinazoimbwa pale ni kiingereza tu. Sisi mpaka ufikrie kwa kiswahili halfu utafsiri kwa kiingereza.
hivi hakuna uonevu kweli ...hasa kama kwa huyu mdada carol....??
I beg to differ ,wenzetu wa Rwanda kingereza kinawapa tabu (hawa walikuwa francophone) lakini shuhudia jinsi ALPHA anavoshine.Mwisho mtajaribu kutuconvice kuwa Kenyans are good runners kwa sababu wanaongea kingereza safi.If the truth be told perfomance be it sports,elimu,uchumi unatokana na mambo mengi ambayo labda sadly sisi (tz)hatuna.
According to me Tusker pf is a fraud, The main reason for this is that they usually mess up on the audition, criteria yao yaku wachukuwa perticipants ni duni, at least they have upped their game kidogo this season. They at times leave out great singers and select some people just because of their looks, humor, and other things which do not in anyway relate to what they are supposedly looking for (if we assume its not comedy or acting).
hata mimi ilinishangaza, kuna bias sana katika hii competition, they failed terribly on the planning, uli notice kwa season 2 it was definate that a UG was to win, I am 101% sure that this time ni mtanzania ndie ataibeba, it doesnt matter if he has a talent or not.
kwani is it on a rotating basis..just coz TZ has never won..i dont think Caroline and Illuminata have what it takes. they are up for eviciton remember! and one of them is definitely going home come saturday! i think a ugandan is taking it again!