Tusome alama za nyakati...

Tusome alama za nyakati...

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Habari za mda huu walimwengu?

Nikiwa kama kijana mwenzenu Leo hii napenda tudiscuss jambo moja muhimu,tukiwa kama vijana tunafeli wapi na tunajisahau vipi?vijana ni chumvi ya dunia bila sisi dunia haitasonga wala watu hawataongezeka,maana sisi ndo wafanya kazi na wazalishaji wa watu duniani.

Mpaka hapo tumeona umuhinu wa vijana duniani,lakini vijana wengi hawajitambui asilimia 25% ya vijana ulimwenguni kote ndio wanajitambua,lakini kundi kubwa lililobaki ni wapuuzi na wasiojitambua.

Ukiwa kama kijana lazima uwe na vipaumbele vyako,lakini kinachotokea papo kwa papo vijana wengi wanapita navyo,tunapenda kukurupuka sana,hatujui kipi tunapaswa kufanya na kwa kusudi gani,huu umri tunaotamba nao wa miaka 15-45 ni mfupi sana,endapo usipo utumia vyema utajikuta una miaka 50 huna mbele wala nyuma, unalala sitendi na mitaroni,kwa sababu hukutambua nyakati.

Vijana wengi tumeweka mbele starehe na anasa,tunapata pesa sana lakini hatuna malengo nazo,kila Siku kesho nitapata mwisho wa siku unaangukia pua, hao wazee unaopishana nao mtaani hawana mbele wala nyuma pia walikuwa kijana kama wewe,walikuwa mashababi haswa,starehe nyingi walifanya na kusahau watoto zao,MUNGU alivyowaajabu anakupa miaka mingi ya kutosha ili ujutie na uwe fundisho kwa wenzako.

Tutambueni nyakati nimechoka kuandika.
 
Habari za mda huu walimwengu??

25% ya vijana DUNIANI au AFRIKA embu nyoosha maelezo kijana.
 
Kijana kuwa msafi,
kijana jali wazazi na walezi
kijana kuwa na utajiri
kijana kumiliki wanawake umauti
kijana vaa upendeze
kijana sukuma ndinga kali
kijana tumia pombe na bangi.

😃😃😃😁👀👀
 
Back
Top Bottom