Elections 2010 Tusome Vipengele Hivi

Elections 2010 Tusome Vipengele Hivi

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015

"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."

"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
 
[/FONT]

Watawezaje kulifanya taifa letu kuwa la kujitegemea wakati wanakumbatia mafisadi. That is impossible!!! Kwa nini watanzania mnadanganyika kirahisi hivyo?
 
Tusome na kujadili.Sisi ni sehemu ya haya.
 
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015

"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."

"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
very good indeed... ndio maana tunaelekea kuigeuza kigoma dubai na daraja la dhahabu kigamboni... watanzania kwa document ni balaa, kwa action ni mawaaaa tupu

i wont trust anything written for action especially being written by a tannzanian
 
Hovyoooooooooo..mimi nikishaona hizo herufi ccm nahisi kichefuchefu, wote wanaosapoti ccm huwa najiuliza mara mbili akilini mwangu juu ya uchungu wao na hii nchi yetu pamoja na uwezo wao wakufikiri na kupambanua mambo. Huhitaji kuwa na elimu kubwa ya form two kama Makamba kujua uozo wa ccm. Kwa nini watanzania tunakuwa waoga hivyo kufanya mageuzi, tunakuwa wabinafsi sana kwa kuogopa kujitoa kafara kwa kuruhusu mageuzi ya utawala kwa faida ya vizazi vijavyo, tukiendelea kuwaruhusu hawa majambazi mmmh sorry mafisadi machozi ya vizazi vijavyo yatatuhukumu milele. Shime ndugu zangu watanzania tuamke tuache uoga mafanikio huja kwa kujaribu, huyo mkwere kwao ni ngoma uongozi kaujulia wapii???
 
Jamani mimi nadhani tunapofanya comparison kuhusu mazuri iliyotenda CCM na pia inatakiwa tulinganishe na wizi na ufisadi uliokuwa ukitokea concurrently and simultaneously with ufisadi na kila aina ya uvunjaji sheria uliofanywa na CCM katika kila awamu zilizofuata baada ya awamu ya Nyerere.Hapo wana JF wenzangu ndio tutakuwa tumefanya rational judgement kuhusu CCM.

Kwa maoni yangu mimi CCM ni chama kinachong'ata na kupuliza! Kinapuliza kwa kutupa maendeleo machache yaliyo chini ya kiwango ambacho ingeweza kuwapatia wananchi wake kama kisingetenda maovu yote iliyotenda na kufanya kazi chini ya kiwango inachoweza kufanya! Na pia kinang'ata, tena king'ato chake kinauma sana kwa kutenda uvunjaji wa sheria ambao unaathiri maisha ya Watanzania zaidi ya milioni 40 na kutia katika umaskini mkubwa huku tukikalia rasilimali nyingi!
 
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015

"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
[/B]
[/FONT][/SIZE][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
[/SIZE]

Sina uhakika sana na hizi takwimu maana tumewahi kudnganywa na awamu ya tatu kuhusiana na ukuuaji wa uchumi kwa kuweka takwimu nzuri tu. Inabidi tuhakikishe kwanza hii kabla hatujatafakari hayo mengine. Simply put, kama idadi ya wanafunzi wa Primary school ni over 7.5m in a general population of nearly 40m and if we add secondary and tertiary population going by the same figures perhaps another 1m, does it mean about 9m Tanzanians are in schools/colleges?

Sasa kwenye hoja, CCM hawana dhamira ya kufanya taifa hili llisiwe tegemezi. Katika kampeni umewasikia wakitoa ahadi nyingi na hawanyambulishi pesa itatoka wapi. Bila shaka wanategemea Kikwete aendelee kutembeza bakuli lake huko Marekani na Uarabuni ambako amekuwa akiuuza nchi kwa bei za shanga kama enzi zile kabla ya ukoloni. CCM watuonyeshe walau mfano mmoja ambapo CCM wameshikiriana na wananchi kufanya shughuli za kiuchumi ili waondoe umaskini. Ha ha haha ha watakuja mbio hapa watataja mifano ya TASAF, Mashule, madaraja ....nasema haya ni ya NGOs mbali mbali ambao walikwenda serikalini na kuomba kusaidiwa, haikuanzia kwao. TASAF ni mradi unaofadhiliwa kutoka nje....ukienda majimbo yaliyokuwa na wapinzani utaona jitihada za wananchi wenyewe wakishirikiana na kuanza shughuli za pamoja.

Ndio maana nawasikitikia sana CCM kwa kumuengua Kimaro wa Vunjo ambaye kwanza kiasili ni mpinzani (alianza kule NCCR baadaye TLP) aliyebuni VICOBA. Vicoba ni njia iliyokuwa sahihi kabisa ya kujinasua na utegemezi, lakini unajua mwisho wake sasa! Ngojea uone, kama vile Debt Conversion Program ya Benk kuu enzi zile ilivyobadilishwa kibao ikawafadhili kina sijui nani Viraj(?yule aliyenunua mashamba ya katani wakapambana kweli na Mrema ile miaka ya 1980s na mwanzoni 1990s)
 
@ Tandaler one: Tujadiri: primary milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
Hvi haya mahesabu ya mamilion hayazumngumziwi kwa upande wa sekondari? Tatizo la kufalisha liko wapi? Kwa walimu... watoto wenyewe...Wazazi au sera za CCM ambazo zinafanya wanaongia primary kuwa mamillion na wanaongia secondary ni ma-laki?

"Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea"

Jukumu hilo watalikamilisha lini? Mbona bado tuko kwenye dimbi la uchumi ulio nyuma na tegemezi" au mpaka Mungu arudi kutukomboa ndo itakuwa hitimisho lake?
 
Tusome na kujadili.Sisi ni sehemu ya haya.
Tatizo inaone kana ni wale wanaoshabikia bila kujua CCM imetufikisha wapi? mpaka leo Tanzania ni watatu kwa umasikini halafu mgojwa wetu anaulizwa tatizo ni nini anasema hajui kwanini Tanzania ni Masikini...kama mtu hajui tatizo lako atakusaidia nini....Tuungane tuwaondoe mafisadi tarehe 31-10-2010....
 
wat about 2005 to 2010!??
coz I think hiyo ilikuwa awamu ya Mkapa!!!!!!
KIKWETE..wat did you do!??
 
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015

"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."

"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015

so what,
 
Calculator yangu imekataa. hebu nisaidie kupata ratio ya 520,000 kwa 7,500,000 halafu unimbie ni asilimia ngapi wanenda secondary!!!!!!!!!!!????????????????
 
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015

"
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
50 years is more than enough, waachie ngazi wengine wasongeshe
 
@ Tandaler one: Tujadiri: primary milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
Hvi haya mahesabu ya mamilion hayazumngumziwi kwa upande wa sekondari? Tatizo la kufalisha liko wapi? Kwa walimu... watoto wenyewe...Wazazi au sera za CCM ambazo zinafanya wanaongia primary kuwa mamillion na wanaongia secondary ni ma-laki?

"Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea"

Jukumu hilo watalikamilisha lini? Mbona bado tuko kwenye dimbi la uchumi ulio nyuma na tegemezi" au mpaka Mungu arudi kutukomboa ndo itakuwa hitimisho lake?

Imeichukua Marekani,Ghana au Botswana miaka mingapi kufika ilipo????Na je kitu gani mbali ya political atmosphere kimesababisha watu wake kuendelea???
 
Back
Top Bottom