Kwa upande wa sanaa anastahili kwakweli apewe tu. Huu unaitwa udaktari wa heshima hauna tatizo ni kutambua mchango wa ntu katika masuala fulani ya kijamii na kitaifa au kimataifa. Yeyote yule anaweza kufanya jambo likatambulika kijamii na kutunukiwa udaktari huu.