Tutaelewana tu!

Lemaemmanuel

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
18
Reaction score
28
Wanasaikolojia wamebaini hatua 5 za majonzi baaa ya kupoteza mtu au kitu - mfano umefiwa, umepoteza mali/sifa/cheo. Hatua ya mwisho ni kukubaliana na hali. Katikati kuna hasira, kukataa uhalisia, kutafuta maelewano na msongo wa mawazo! Ktk siasa tupo stage ipi? [emoji851]#tutaelewanatu
 
Uzi tayari? Mtasubiri sana, tatizo la vyama vya upinzani Tanzania hamna mipango badala yake mnategemea bahati nasibu ya CCM kuanguka,

Siyo virahisi Kama mnavyofikiria, mnaichekea Sana CCM na ndiyo maana hamna uwezo wa kuitoa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…