Y Yuyo Ahumile Shamalendi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 993 Reaction score 785 Mar 5, 2019 #21 BROWN EDDY said: Kwa sababu ya wahehe, idadi ya mbwa hupungua sana haswa kuelekea kipindi hiki cha pasaka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mmh! Wahehe ndo wanaopunguza Mbwa dunia nzima?!!??? Huo utafiti umeufanyia wapi??? Au ni watani zako???
BROWN EDDY said: Kwa sababu ya wahehe, idadi ya mbwa hupungua sana haswa kuelekea kipindi hiki cha pasaka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mmh! Wahehe ndo wanaopunguza Mbwa dunia nzima?!!??? Huo utafiti umeufanyia wapi??? Au ni watani zako???
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Mar 5, 2019 #22 Kiufupi tu ni kwamba Ng'ombe na mbuzi wana baraka kubwa sana na mbwa hana baraka kabisa,kwaiyo kwa ngom'be ama mbuzi hutokuja kuona upungufu wao kabisa hata wakichinjwa ng'mombe 100 kila siku kwakuwa wana kheri na baraka kutoka kwa mungu
Kiufupi tu ni kwamba Ng'ombe na mbuzi wana baraka kubwa sana na mbwa hana baraka kabisa,kwaiyo kwa ngom'be ama mbuzi hutokuja kuona upungufu wao kabisa hata wakichinjwa ng'mombe 100 kila siku kwakuwa wana kheri na baraka kutoka kwa mungu
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,907 Mar 5, 2019 #23 ras jeff kapita said: Unaweza kujikuta unaingia matatani kijinga kabisa....jela ni kubaya utaolewa kule Click to expand... We jamaa ni muoga sana yaani hufai ata kua mlizi wa mkeo! Young kilimanjaro
ras jeff kapita said: Unaweza kujikuta unaingia matatani kijinga kabisa....jela ni kubaya utaolewa kule Click to expand... We jamaa ni muoga sana yaani hufai ata kua mlizi wa mkeo! Young kilimanjaro
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Mar 5, 2019 #24 harder king said: We jamaa ni muoga sana yaani hufai ata kua mlizi wa mkeo! Young kilimanjaro Click to expand... Ww ni shujaa wa nyuma ya keyboard!!! mko wengi....siajabu hata mende mnakimbia nyinyi
harder king said: We jamaa ni muoga sana yaani hufai ata kua mlizi wa mkeo! Young kilimanjaro Click to expand... Ww ni shujaa wa nyuma ya keyboard!!! mko wengi....siajabu hata mende mnakimbia nyinyi