Tutafanyaje hapa?

Heee... Pesa tena, atakuwa na Undugu na Joka la Mkengeza
 
Izo ndo pesa za manyoka sasa uyo snake nikumbeba tu naenda kumfungia stoo niwe nachukua izo buku buku
 
Uyo kibwengo hapo atapisha mapema sana
 
Nae anakuogopa kama umwogopavyo...so we chukua tu hela jiendee home
 
Naiba combati la jeshi la baba na mabuti yake faster najua ni gumugumu lile! hala fu nakwenda nakwapua kaaapu!! basi ni mwendo wa chips! Hotelini tuuu!...mpaka ziishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…