Tutafikiaje kujitawala wenyewe tuwe huru?

Tutafikiaje kujitawala wenyewe tuwe huru?

Kajiarashid

Member
Joined
Jun 2, 2021
Posts
69
Reaction score
27
Karibuni wenzangu tulongeya moyoni.

Nyerere na wenzake walipigania UHURU WA BENDERA, tukaupata. Akasema bado uhuru KAMILI.

Je, Tumeshaupata?

Kama uhuru kamili bado, ni kwa nini?
 
Kwa namna tulivyozembea kwenye hii dunia mpaka muda huu, swali lako litakuwa ni sawa na swala waulizane namna ya kupigana na Simba, Chui na cheetah wakati wanawindwa
 
Na hata liyekuwa makamu wa Rais Kenya Odonga Odinga aliandika kitabu. Not yet uhuru. Ni kweli kijana wa jama tumezembea sana. Bali tusikate tamaa. Kila jambo lina MWISHO.
 
Ah! Ndugu Ugumu Wangu, ELIMU ndio; lakini mbona tuna ministry of knowlegde badala ya ministry of education. Kumbuka ELIMU ni zaho LA MALEZI. Badala ya wakoloni kabla ya uhuru wa bendera kutuwekea WIZARA YA MALEZI, wakatuvunga kwa kututamkisha kuwa Ministry of Eduction kwa kiswahili ni WIZARA YA ELIMU. Hivyo wakatukuza tukijua kuwa ELIMU na KUELIMIKA ni kufaulu masomo ya shule na vyuoni. Na Leo watu tumefaulu kibao na SJIRA hakuna.

Je! Huoni kwamba kuna jambo lakufanywa, LIHITAJIKE?
 
Ndio Kijana wa Jana! Mimi ni Mzee wa tangu juzi. Umesema Elimu x 3. Bali tuongeze KITU. NI ELIMU YA KUJENGA NCHI. HIYO NDIYO ROADPLAN YA NYERERE. Alitutaka vijana wa wakati ule, tusome tulete ELIMU YA KUJENGA NCHI. Mimi huu ni mwaka wangu wa 53 natafiti hilo. Jibu ni nalo, lakini nani wa KUMPA?
 
Nani wa kumpa? Elimu ya kujenga nchi iko wapi? Na ni nini hicho?
 
Utawala wa wenyewe kwa wenyewe, ndio DEMOKRASIA ASILI. SERIKALI YA WATU, KWA SJILI YA WATU NA IKISIMAMIWA NA WATU WENYEWE. LAKINI LEO, DEMOKRASIA IMEKUWA NI HAKI ZA WATU, WATOTO, WANAWAKE; NA UHURU WA MAGAZETI, NGONO ZEMBE N.K.

Enyi ndugu wa Moyoni. TUNATAKIWA TUTUMIE AKILI YA ZIADA.

Tambueni ya kwamba, HATA Katibu IPO. Haihitaji kuandikwa NA watu. Nayo ina IBARA saba rejea Ufunuo wa Yohana 1, 6, 12; katibu mwenza.

IBATA SABA:
1): UWEZA (UFALME) NA Leo zote za ulaya ya magharibi zina Ufalme, isipokuwa Ujerumani ina Rais wa kudumu NA Ufaransa ina Rais mwenye kupigiwa kura.
2): UTAJIRI {Kuzienzi SIRI ZA MBINGUNI NA ZA ARIDHINI}
3): HEKIMA {MIHIMILI YA NCHI MITATU YENYE DINI}
4): NGUVU {KALENDA YA UCJAGUZI ILIYOKUWEPO TANGU MBINGU NA ARDHI KUUMBWA}
5) HESHIMA {kuenzi MILA YA NABII IBRAHIMU NA KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA HII}
6): UTUKUFU {KUSHIKA NJIA ILIYONYOOKA NA ILIYO SAWA} na
7): BARAKA {KUDUMISHA NJIA YA MANABII, MITUME, MASHAJIDI MA WAJA WEMA}.

KATIBA MWENZA Q15:87-
HALAFU KUJUA ELIMU YA URIA:
1)- JUZ'U YA 30, JUZ'U AMMA - mambo yaweje?
2)- JUZ'U YA 29 -TABARAKA - WATU WAWEZE KUBARIKIWA
3)- JUZ"U YA 28 QAD SAMIA - Jamii tuwe wasikivu.

Hivi ndivyo tuweze kujadiliana jinsi ya kufikia uhuru kamili. Nje ya Unabii, itaendelea KULA KWETU.

Aliye NA macho jaambiwi ONA.
 
Back
Top Bottom