Tutafute hela jamani!

Nakumbuka niliendaga pale lifemate kuna sofa nililiona nikauliza bei tena ilikua msimu wa punguzo yule dada akaniambia m19 nilitoka haraka nikijua kabisa nimeingia sehemu isio sahihi kwangu mwishoe nikaishia kwenda keko nikamuungisha mwanangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mh, hiyo bei ya kitanda na jinsi kilivyo!!!!!!!!Tutafute hela tu kwa kweli!!!!!!Ukiongea sana utaonekana una nongwa!!!!!!!!!!!! Pita kule na hiyo ni ofa ya punguzo!!!!!!!

GSM

View attachment 2714621
Sio Kila bidhaa mlengwa ni wewe, Kila biashara Ina soko inalolenga ndio maana chips kuku hiyo hiyo utauziwa elfu 5 mbagala ila ukienda machimbo ya masaki huko utauziwa elfu 30.

Hiyo bei ni kubwa kwako ila wateja wao ni mahoteli makubwa, mabalozi, political class, business moguls n.k so wanaiweka bei inayoakisi thamani ya wateja wao.

So usishtuke sana quality ni Ile Ile tofauti ni market segment tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…