Tutafute hela : Tuheshimike

Tutafute hela : Tuheshimike

#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka dakika hii nawaza nimjibuje.
Jisemee wewe mwenyewe peke yako. Mfano mimi huwa sivutiwi na mwanamke mpenda pesa. Hata awe mzuri kiasi gani ananikeraa
 
#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka dakika hii nawaza nimjibuje.
Tatizo sio kuwa na hela tu. Je yupo kwenye wakati wako? Unaweza ukawa na hela ila demu akafanya vitu ambavyo ww hutarajii akufanyie.
 
Back
Top Bottom