Tutafute hela : Tuheshimike

Chache mno hizo nilizo nazo...
No wonder you call yourself poor brain. Sasa nikushauri kitu kitakachokusaidia maishani. Hutokuja kumridhisha binadamu yeyote hapa duniani. Unachotakiwa kufanya ni kuji upgrade wewe mwenyewe na kuwa bora zaidi ya jana. Then the right ones will tag along. Hata uwe na hela vipi kama huyo mtu sio sahihi kwako utajitaftia pressure tu na tutakuzika siku si zako.
 
Nashukuru sana mkuu.
Kuna kitu nime gain hapa.

Ila issue inakuja hapa kwa mada ya huyu jamaa bila pesa kutoboa ni ngumu maana pesa pesa ndo zinazotakiwa hapa ujue
 
Kuchelewa kujibiwa inauma ee...? Kuna mmoja baada ya kuchelewa kujibu text yangu kwa zaidi ya saa 24 muda aliojibu na mimi nikablue tick nikamkalisha bench 48 hrs.. akajibu haraka haraka nikamkalisha tena bench 48 hrs..
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ vijana ngono inawatesa Sana, hivi kwanini hujiulizi wale bilionea hawana muda na wanawake mfano, Elon, billgates, dangote, edenuga.

Mkuu, iko hivi ukiwa unatafuta hela wanawake huna muda nao, kwa wakati huo unahitaji mwanamke mmoja tu au mwanamke yeyote ambae utamla utamwacha sio kugandana gandana. That's how rich people live.
RICH FOREVER..... πŸ’°πŸ’°πŸ’΅πŸ’΅
 
#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka dakika hii nawaza nimjibuje.
mkuu vipi, ulishamtafuta huyo manzi? ili nikupe nondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…