Kumekua nakamsemo mtaani haka kamsemo kamezoeleka sana Et V8 ni gari za Serkali
hapana hata wewe unaweza kumiliki tutafute pesa wakuu
Siku moja moja unaingia Showroom unaupiga mkwara umskini unauliza bei ikiwezekana unaipanda kabisa ndani.... Upatee Stimulation yake the way ndani ipojee...
Mara unaingia Be forward Unachek CF yake Hadi Bongo inakula how much milion....
Hii ni thread ya nane imekuja na haka kamsemo ka V8 gari ya serikali. Hizi makitu mnatoa kwenye magrupu ya WhatsApp kwanini mnapenda kutusumbua ma-great thinkers?