Guru Guja
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 217
- 285
Aaahh! Jameni wacheni tu, mamboo ni bam bam. Leo amekuja mwanamke mzuri dukani kwagu mpaka kiu ilikata yeyewe. Nilimwambia achukue tu nguo anayotaka maana ni mzuri, kwa kweli ni mzuri sana.
Vijana hamutaki kuoa, why? Mimi nilitaka kumsemesha kwa urefu lakini nikawa nimeshidwa, nikamwabia aje kesho tuogee kwa kirefu. Amekubali na kunipa namba yake ya simu, baghoshaaa! Huyu mdada ni mzuri sana, mweupee, mrefu ana hipis na makalio mazuri.
Nilimuwahi sema humu jamani tupeane madili ya mademu wakali wote. Jamani sisi wanaume tunapaswa kuwa na moyo mgumu, si woga au chuki. Hakuna kugombana, kumbe wanawake wazuri bado wapo wegi tu.
Sitoki JamiiForums, kuko poa sanaaa.