Tutaishi kama "Mashetani" ifikapo mwaka 2050

Yeah. Kila kitu huja na fursa pia mkuu. Wasiwasi wangu mimi unatokana na jinsi nature yetu ilivyo.. ndiyo maana nakuwa napata mashaka
 
Tanzania bado tuna rasilimali nyingi sana mkuuu hasa ardhi ambayo kwa asilimia kubwa ni mapori na hifadhi.

Ongezeko la watu litachangia ubunifu na uvumbuzi kutokana na changamoti anazokutana nazo.

Chukulia mfano uingereza walianza na mapinduzi ya watu-mapinduzi ya sayansi na teknoloji- mapinduzi ya kilimo. N.k
Kwa mantiki hiyo basi, ongezeko la watu linafaida zaidi katika kuleta maendeleo.

Katika Nchi za ulimwengu wa kwanza hii nadharia haiwezi kufanya kazi kwa sasa maana wao wameshafikia hataua ya maendeleo ya makubwa kupitia uvumbuzi na ubunifu mfano USA na China that why wanapendekeza kupunguza idadi ya watu kupitia sere za nchi zao.

tofauti na Nchi za ulimwengu wa tatu ambazo bado zinahitaji watu ili watumie hizo resources zilizopo.
 
FAO wanadili na msosi bana.
Wasitutishe, mimi nitakuwa nishakufa kwanza, na mke wangu na wichepuo yangu yote na michepuko ya wife.

Tusitishike, sikutishika.
 
Angekuwepo leo TESLA nageshangaa sana yele aliyo yatabiri 1927 na akapigwa mawe kuwa haiwezekani ndio maisha yetu ya kila siku,so Mungu nimwema sana maisha yatakuwa rahisi sana kuliko sasa zama hizi za ma adui watatu ujinga,maradhi na umaskini,yawezekana adui mmoja hapo au wawili tuka wateketeza
 
Umeongea vizuri sana mkuu
 
Yeah. Kila kitu huja na fursa pia mkuu. Wasiwasi wangu mimi unatokana na jinsi nature yetu ilivyo.. ndiyo maana nakuwa napata mashaka
Mashaka au wasiwasi ni hekima nzuri yenye wingi wa majuto katika kuamini mambo chanya.
 
J Tatizo waAfrica weusi hatuangalii mbali , kuna nchi wanakaa huko na kuformulate policies na mifumo ya kupambana na haya majanga Ila Sisi tupo kwenye uchawa na mambo mengine ya kipumbav pumbav Tu ,

Tusubiri balaa
 
Tatizo ni Tabia mbovu ya binadamu kuzalisha kama panya na kuharibu mazingira , ni ubinafsi na upuuz bila kufikiria consequences za haya yote ni nini .
Binadamu ni kiumbe mpuuzi Sana na mbinafsi mno
 
Utahun
Sio kuwa tutakuwa tumeshagundua mbegu Bora kabisa za mazao hivyo kumalizia kabisa tatizo la njaa!?
Mtagundua mbegu gani nyie msioweza kutengeneza hata vijiti vya kuchokonolea Meno ? Sasa hivi Tu Africa nchi nyingi zinalishwa Kwa msaada WA UN na misaada ya NGO za Europe na Marekani , mfano Eritrea ,Djibout , Madagascar ,Zimbabwe ,Burkina Faso ,Mali ,Northern Nigeria ,Niger,Republic of central Africa , Ethiopia ,Northern Kenya , Congo ,Somalia , Southern Sudan NK Huu ni mfano WA failed states as we speak in now na yanayoendelea humo ni overpopulation , unemployment, extreme poverty , starvation hunger , diseases ,political instability ,crime
 
Umeongea vizuri sana mkuu
Asante mkuu,
Bado tunarudi kulekule kwamba katika ulimwengu wa kibepari huwa hakuna kuoneana huruma.

Hivyo basi wao lengo lao lishatimia na wanachokilenga zaidi ni kulinda masilah yao
Kuzifanya nchi zetu kuwa tegemezi katika bidhaa zao.

Katika hilo wamefanikisha kwa sehemu kubwa angalia bidhaa za china zilivyozagaa Afrika kama utitili.

Ajenda zao zinamlengo wa faida kwa upande wao ili wapate sehemu za uwekezaji kupitia rasilimali zilizopo hasa za aridhini, gasi, mafuta, dhahabu n.k

Bado mikopo yao unakuja kugundua hailipiki kwanza wameshajua afrika tuna matimizi mabaya ya pesa(zinapigwa,zinaishia mifukoni mwa watu)

hapo wamecheza kama pere mwisho wasiku unadaiwa pesa nyingi lazima ukubali kile watakacho kwambia na lazima utoe..

Ajenda zao kuu ni kupunguza idadi ya watu japo wanufaika wakubwa ni wao kupitia sisi

Mkuu naomaba tuishie hapa maana haya ni masula tambuka moja linazaa jingine.

Mungu atupe maarifa
 
We naye umekosa hata nchi za kutolea mifano yaani country kama Bangladesh ndio ya kutolea mifano hapa ? Hivi unajua how poor that country is , unajua how miserable watu wake wapo mle ? , Wengi wao wanakimbilia nchi za nje kutokana na miseries and poverty yote hii ni kuwa na population kubwa ambavyo ni unustainable kuthrive
 
That's we call critical thinking, kwa mtazamo wangu naona ongezeko la watu sio tatizo ndio maana ha Muumba wa Mbingu na Nchi amependezwa tuwe wengi zaidi.
 
Wazungu wanawadanganya ili msizaliane,,wanaona kizazi chao kinakuja kupungua (mashoga % kubwa) huko nanyie mmejaa haha!
 


  • Changamoto hizo 2 hapo juu zinapingana na hoja yako ya kuongezeka watu
 
Kwa mawazo finyu kama haya,utakufa mapema sana kabla ya huo mwaka ulio utaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…