Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
1. Pombe husababisha ugomvi maana mtu akishalewa hajitambui anafanya nini.
2. UCHUMI : Kwanza pombe inakumalizia hela za matumizi muhimu kama vile kusomesha watoto, unabana budget ya vitu muhimu kama chakula ,gasoline kwa ajili ya gari .Ujenzi kama hujajenga na mpenda Maji taka ni vigumu sana kujenga.Pombe hupunguza sana nidhamu unaweza kuja home ukakojoa in front of your kids Bila kujua.
3. AJALI: Mara nyingi sana mtu akishalewa anapoteza fahamu kwa hiyo basi wakati wa kuendesha hajui alifanyalo.Ndio maana ajili nyingi zinasababishwa na ULEVI angalia watu wanapotoka kwenye sherehe kama driver ni mlevi ndio unakuta anaingiza Gari kwenye ditch .Ndio maana wazungu wanasema ONE FOR THE ROAD ONE FOR THE DITCH.
4: MAGONJWA YA ZINAA: Kama nilivyosema hapo juu ukishalewa hutajitambua kama umevaa ROUGH RIDER kwa wanaume,na upande wa wanawake akishalewa hakumbuki tena kumshauri partner wake avarice rough rider, ukiamka morning ndio unasema what the hell I did last night, unaanza kukimbilia hospital kupata Ile sindano ya kuzuia virus vya ukimwi visiingie mwilini inaitwa PEP.
5: UTENDAJI WA KAZI .Hapa ndio usiseme ukiamka na hang over ni vigumu sana kufanya kazi Yako vizuri ,kama ni business man innakuwa aibu wakati unaongea na customers wako huku unatoa harufu kali kama truck la browers.
6: KIAFYA : KAMA WEWE NI MGONJWA WA DIABETES TYPE 2 INAKUWA SHIDA SANA SANA KUISHUSHA KAMA UNAKUNJWA SANA POMBE MAANA IN STARCH NYINGI SANA IKIINGIA MWILINI INAKUWA SUKARI NA VILE VILE KWENYE BEER WANAWEKA SUKARI NYINGI SANA HII YA VIWANDANI .NDIO MAANA WATU WENYE DIABETES TYEPE 2 HAWARUHUSIWE KUNYWA MAJI TAKA.
7: UGUMBA : POMBE HUSABABISHA KUSHUSHA HORMONES ZINAZOITWA TESTOSTERONE HORMONES SASA HIZO HORMONES NDIO ZINAKAA KWENYE KORDAN ZA MEN AMBAZO NDIO KICHOCHEO KIKUBWA CHA KUZALISHA SPERMS NA KAMA ZIKIWA CHINI SANA HIZO TESTOSTERONE HUWEZI KUSIMAMISHA UUME KWA ENGLISH NDIO E D ,ERCTLE DISYFUNCTIO, NA HIYO POMBE NDIO INAHARIBU MISHAPA YA FAHAMU KWENYE UBONGO NDIO MAANA UNAKUTA ILE PITUITARY GLAND HAIFANYI KAZI VIZURI .
8: PITUITARY INAKAA CHINI YA UBONGO AMBAYO KAZI YAKE KUBWA NI KUTOA HORMONES ZINAZOITWA LH NA FSH AMBAZO ZINAENDA MOJA KWA KWENYE KORDAN NA KUZIAMBIA ZIZALISHA TESTOSTERONE NA TESTOSTERONE ZINAZALISHA SPERMS NA KUUFANYA UUME KUWA NA NGUVU , vile vile hizo testosterone hormones zikishuka sana unajisikia umechoka , unakuwa na hasira sana , nywele kupuputika hata kupe za macho zinaisha , UNAKOSA usingizi ,Ngoja nikaangalia election results kesho nitamalizia hii issue ya pombe na namna ya ya kupima hizo testosterone na matibabu yake .
Have a good night you guys.
MWENYE KUJUA ATHARI ZA POMBE PLEASE NAOMBA UCHANGIE PLEASE.