Tutaje majina ya Mawaziri wachapakazi 2022

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mawaziri wetu wako kazini kila mmoja kwa nafasi yake na kipawa chake alichojaliwa na Mungu

Tuweke orodha ya mawaziri wachapakazi ambao kazi zao zinaonekana kwa matokeo kwa Wananchi kutokana na usimamizi wao sio wanaongoza kuonekana kwenye Tv.
 
Nafikiri ni ummy Mwalimu na Hussein Bashe
 
Waziri wa kuhamishia watu Burundi. Anaupiga mwingi wakumwagika.
 
Kwamba utafahamu utendaji wa mawaziri kwa kufuatilia kwenye media?
 
1.Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo
Mohamed Omary Mchengerwa
2.Wazri OR TAMISEMI
Innocent Bashungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…