Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

unavuta ee?
 
mbona ukivuta una sizi kama si madawa nin yani bange inaenda idanganya akili kabisa yan nakujiona wewe ni special sana kw kwel i hate bange
Kwahiyo na pombe ni madawa ya kulevyaa....haya tuanze kutaja eatu walevi Tanzania
 
bange nani anasema haina madhara, acheni kudanganya watu , bange mbaya sana ina madhara makubwa tu ya kisaikolojia kama kuchanganyikiwa
Hata maisha magumu, stress, madeni, kuku na mayai ya kisasa, nguruwe, pombe, dawa za hospitalini zote zinaua in one or another...kila kitu kina madhara Mkuu...bangi km bangi is the natural herb yenye Madhara machache saana hasa kwa moderate smockers ukilinganisha sigara, goso, shisha au pombe, tatzo ni njia ya utumiaji hasa wanaochangaya na sigara, unga au wale wavutaji wahuni..au vichwa panzi maana bangi ni zaid ya akiri ya tatu, uelekeapo ndo huko huko so haihitaji kukurupuka!!

kumbuka too much of anything is.....
 
bange hapana , ni mzuka sana ..aisee inaongeza uwezo wa kujiamini sana i like bange, ila ngada hapana,,,siwezi acha vuta bbange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…