bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Timu zilizokumbana na mtetemo wa Mayele Tanzania .
Nikianza kutaja
1.Simba sports club hii ilikua ngao ya jamii ndio Mayele alipotambulishia style yake.
2. Azam hapa mwamba alitetema kwa bonge la goli la kideoni
3...
4...
Sio mbaya ukiendeleza list hata mashabiki wa Simba ruksa kwani michezo sio uadui.