Tutaje utamu tunajikoseshaga bila sababu za msingi

Tutaje utamu tunajikoseshaga bila sababu za msingi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1. Kula ugali kwenye sufuria. Badala ya kuweka kwenye sahani usipakue kula palepale dona lako likiwa la moto.

2. Kunywa maji kwenye glass. Unaposikia kiu ukanunua maji yako ebu usinywe kwenye chupa tafuta glass yako mimina kisha kunywa

3. Kupitisha mguu wako katikati ya mapaja ya mkeo. Hii inawahusu KATAA NDOA mnajidai kwamba mnanunua malaya mnawagonga mnawwpa hela mnamalizana. Hivi mnaujua kweli raha ya joto la mke mnayependana.

tuendelee na nyingine
 
Kuupuzia ukoko wa wali wanapotuwekea msosi kwenye hotpots, ukoko wa wali nakupenda,niwe na maharage na nyama ya mchuzi,halafu uwe umepoa kidogo.
Home wali uwa naufuata mwenyewe kwenye sefuria ,wa mezani labda wawepo watu.
 
Mimi huwa naunguza wali makusudi ili ubaki ukoko amaizing kabisa ukiweka chuzi la nyama aiii inakwa tamu balaa
 
Ukiwa na kibinti chako unakitafuna basi usikivue nguo zote.

Utaenjoy sana.

Ule utamu wa kusogeza chupi pembeni haufanani na chochote...
Hahaha we jamaa umepatia sana kweli yaani ndo maana wanasema sex ya kuibia huwa raha maana hamvuan zote..sex ya outdoor
 
Back
Top Bottom