Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Alexander DocoureTimu kushuka sio kigezo cha kusema wachezaji wote ni wabovu, ndio wabovu wapi lakini hata wenye uwezo wapo, maana wahenga waliwahi kutuambia "kidole kimoja hakivunji chawa".
Leo tutaje wachezaji wenye uwezo mzuri ambao wanaweza wakasajiliwa na timu nyingine za EPL. Wachezaji hao wawe wanatoka katika vilabu vitatu vilivyoshuka daraja ambavyo ni Watford, Bournemouth na Norwich.
Mimi naanza na beki wa Bournemouth Nathan Ake, huyu licha ya timu yake kushuka ana nafasi ya kusajiliwa na timu nyingine ya EPL, Arsenal wanapaswa wamchangamkie huyu jamaa!
Karibu uendelee...
Ni Boubacar Deocoure.Alexander Docoure
Ismaila Sarr
Deloufee
Owen Cantwel
Kikosi chote cha Bournemouth
- Emiliano Buendía - Norwich city- 1 goal + 7 assist
- Ismaila Sarr - watford - 5 goals + 4 assist
Duh, kikosi chote! Kimeshukaje daraja sasa. Kwamba kocha bomu!Alexander Docoure
Ismaila Sarr
Deloufee
Owen Cantwel
Kikosi chote cha Bournemouth
Cantewell Norwich
Ake bornermouth
Wilson
eti bondia.....Mimi huwa natamka bondia, jamaa yuko vizuri
Alexander Docoure
Ismaila Sarr
Deloufee
Owen Cantwel
Kikosi chote cha Bournemouth
eti bondia.....
mtoto wa kiargentina
Pukki ata hivo wachezaji weng wa Bournemouth n wazur Kama Nathan ake
Duh, kikosi chote! Kimeshukaje daraja sasa. Kwamba kocha bomu!
dogo yuko vzr timu kama Brighton Newcastle ndo zimchukueCantwell Villa wanapaswa kumchukua endapo Grealish ataondoka
Majeraha na kukosa consistency ya matokeoDuh, kikosi chote! Kimeshukaje daraja sasa. Kwamba kocha bomu!