Tutaje wachezaji wenye uwezo mzuri katika timu 3 zilizoshuka daraja EPL

dogo yuko vzr timu kama Brighton Newcastle ndo zimchukue

Timu kama Newcastle Utd tayari ina watu wanyumbuligu wa kutengeneza nafasi kama Maximin, Almiron nk

Angalia Aston Villa timu yote inamtegemea Grealish!

Hivyo Cantwell atafit zaidi Villa maana kuna tetesi Grealish anaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…