"Tutajitosa": Namna Nyerere alivyobishana na Babu kuhusu Biafra mwaka 1968

Code:
Mama huyo wakati mwingi alikuwa ubavuni mwa Nyerere na alikuwa wa mwanzo pia kuijua mipango yake ya siri alipoamua 1967 kutaifisha benki, kampuni za bima, nyumba za watu binafsi na hata vinu vya kusagia unga.

Hapa ndiyo kiini cha umasikini wa nchi hii.
 
Mwandishi katumia udini sana kueleza yaliyosababisha Nyerere kuitambua Biafra, ila hakuweka wazi kuwa Col Ojukwu alikuwa ndiye ofisa mkuu wa jeshi lililoletwa na OAU kustabilize Tanganyika baada ya maasi ya kijeshi yaliyotokea mwanzoni mwa mwaka 1964. Hivyo alikuwa na uhusiano wa karibu sana na Nyerere kifalsafa wala siyo wa kidini kwani Ojukwu hakuwa mkatoliki kama Nyerere. Col Ojukwu alikaa Tanzania siyo tu kustabilizea nchi kijeshi bali pia kumlinda Nyerere hadi mwishonii mwa mwaka 1964 ndipo aliporudi Nigeria pamoja na Batallion yake yote baada ya Tangayika Rifles kuvunjwa na TPDF kuundwa. Aliporudi Nigeria tu, nchi yao nao ikaingia mgogoro wa mapinduzi ya kijeshi ambayo baadaye ndiyo yaliyosababisha vita ya Biafra.

Kama mtu anataka kujua historia ya nchi yetu kikamilifu nyakati za Nyerere asome vitabu vya Mwakikagile; aachane na hawa wanahistoria wa kidini.
 
Hao wanahistoria wa kidini wamecharuka kipindi hiki.Muda si mrefu tutayashuhudia maandamano na matamko makali ya kidini.Jamaa wanajipanga.Mark this post.Yanayoongelewa na akina Faiza si bahati mbaya.
 
Hao wanahistoria wa kidini wamecharuka kipindi hiki.Muda si mrefu tutayashuhudia maandamano na matamko makali ya kidini.Jamaa wanajipanga.Mark this post.Yanayoongelewa na akina Faiza si bahati mbaya.
Chokochoko zinaanzia mtandaoni baadaye wanaingia mtaani.Hamshangai kuona frequency ya posts za namna hii?Ila we are watching them carefully.Msitugawe
 
Muda wote, nisome tena, naona Kiswahili kinakupiga chenga.

Kama kilio chako hakijapatiwa ufumbuzi ndiyo ujijuwe hakina faida kwako au kwa wengine.
Kiswahili hakiwezi kunipiga chenga wewe binti
 
Tumeelewa hitimisho ni kuwa Wazanzibari wakitaka kuvunja muungano, waachiwe wauvunje.
 
Kanisa katoliki lina kashfa ya kuhusika na vita ya Biafra. Inasemekana wao ndo walikuwa wafadhili wa waasi. Pia kuna kashfa ya kuhusika kwao na siasa za DRC
 
Kuna shida pahali
 
Barikiwa mtu wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…