Tutakapoacha sifa kwenye vyombo vya habari Taifa Stars itafanikiwa

Tutakapoacha sifa kwenye vyombo vya habari Taifa Stars itafanikiwa

Motowntzjpm

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
134
Reaction score
203
Tutakapoacha sifa kwenye vyombo vya habari, tukiacha kujimwambafai tutaanza kufanikiwa Afcon.

Mfano Kuna chombo kimetuambia Uganda, Kenya, Sudan wamecheza Afcon mara ngapi? La hasha tunawabeza kisa tumefuzu mwaka huu.

Uganda, Kenya mara 6 Kila mmoja sie mara 3 DRC 19 mshindi mara 2. Lakini umwijaku ni kubeza wote
 
Back
Top Bottom