Mkuu endelea kushusha hizi kumbukizi za huyu MWAMBASiku moja kuelekea kumbukizi ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, hivi ndivyo alivyohamasisha watanzania kuitumia na kujivunia lugha ya Kiswahili.
View attachment 3326498
"Nyie" kina nani? -- mabalaa aliyoleta hatiwezi sahau kwenye historiaNyie vyeti feki mlikuwa na shida.
Tatizo mlikuwa mnapinga Kila kitu.
Mlipinga bwawa la umeme.
Mlipinga SGR.
Mlipinga uboreshaji mikataba ya madini. Nk
Mwamba tutamkumbuka sana
Good riddance to bad rubbish.
Hamuwezi kusahau na nani?"Nyie" kina nani? -- mabalaa aliyoleta hatiwezi sahau kwenye historia
Watanzania wote ikiwemo wewe -- siwezi kukuacha na ujingaHamuwezi kusahau na nani?
Au unamaanisha nawenzako vyeti feki?
Malafa km nyie ndio mnasababisha viongozi wabovu km waliopo Sasa wazidi kutamba.Watanzania wote ikiwemo wewe -- siwezi kukuacha na ujinga
Alimtetea mnyonge yupi, kina Mawazo, Ben Saanane aliwatetea? Bora ungetulia
Huna akili mkuuMalafa km nyie ndio mnasababisha viongozi wabovu km waliopo Sasa wazidi kutamba.
Mnamchango finyu sana ktk Taifa hili
Aliwapigania watanzania wote labda kosa moja alilolifanya ni kufanya ngono na mama yako mzazi kisha akatelekeza mimba ukazaliwa wewe..Alimtetea mnyonge yupi, kina Mawazo, Ben Saanane aliwatetea? Bora ungetulia
Huyu hakuwa mtetezi wa wanyonge.alikuwa mtetezi wa shenanigans.
jingalao umenena vyema. Kwa yeyote ambaye anaelewa, uzalendo wa JPM hauwezi kulinganishwa na chochote. Lakini pia, maisha ni hadithi. Siku zote nasema, JPM was the best President we never had. Huyu bwana angeweza kututengenezea mifumo ambayo ingeishi hata baada ya yeye kuondoka. Hebu angalia, baada ya yeye kuondoka hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa sababu hakuelewa, kwa maksudi, kwamba Uraisi ni taasisi na uongozi ni dhamana yenye ukomo.Ulichelewa sana kumuelewa John Pombe Magufuli
Hilo ndilo tatizo la kuzaliwa na mwanamke kahaba.. ww ni zaao la mwanamke muuza papuchi..Huyu hakuwa mtetezi wa wanyonge.alikuwa mtetezi wa shenanigans.
Siasa zote hizi za UHASAMA Unazoona CHIMBUKO LAKE NI HUYU MPUMBAVU
MUNGU AMLAZE PANAPOSTAHILI NA ALIFANYA VYRMA SANA KUMCHUKUA
JF ya sasa inamiss aina hii ya majadilianojingalao umenena vyema. Kwa yeyote ambaye anaelewa, uzalendo wa JPM hauwezi kulinganishwa na chochote. Lakini pia, maisha ni hadithi. Siku zote nasema, JPM was the best President we never had. Huyu bwana angeweza kututengenezea mifumo ambayo ingeishi hata baada ya yeye kuondoka. Hebu angalia, baada ya yeye kuondoka hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa sababu hakuelewa, kwa maksudi, kwamba Uraisi ni taasisi na uongozi ni dhamana yenye ukomo.
Tanzania hata tungepata kiongozi Malaika, bila uongozi wenye maono kuweka misingi ya taifa, inayolinda haki na uwajibikaji, nakuhakikishia, generation hata tano kuanzia sasa, watakuwa wanalalamikia haya wananchi wanayoyalalamikia leo. Tofauti ni kwamba hatujui kama watalalamika kwa nguvu au kwa sauti.
Maendeleo siyo maghorofa na barabara za lami.
Overall, siasa za Tanzania zimekuwa retirement plans za wale wenye connections, na siyo sehemu za uwajibikaji na uzalendo. Na tatizo linaanzia hapo.
Hata hawa unaowaona humu kama chawa, si kwamba hawayaoni haya madudu na utapeli wa watawala,, ukweli nini kwamba wengi wameshakata tamaa. Mwisho wa siku kila mtu anahitaji kulipa bills 💸 na maisha yaendelee.