Tutambue mataifa ya Mungu na faida zake

Tutambue mataifa ya Mungu na faida zake

audax Medard

Member
Joined
Mar 25, 2022
Posts
16
Reaction score
8
Ni kweli inasadikiwa dunia ina MATAIFA fulani fulani kama unatambua tutajie na faida zake.

Mimi naanza na Israel. Ni taifa la kwanza kwa kuingiza pesa za kitalii duniani.

Na ni watu hatari ktk vita yoyote ile duniani. Na ni maarufu kwa ujenzi aina ya nyumba za Ikulu na majengo yao hudumu. Na ni maarufu kwa ufugaji wa mifugo.

Ukipata bidhaa iliyo andikwa made in Israel ni ya gharama sidhani kama Tanzania inaweza kufika.

Naishia hapo leo

FB_IMG_15994165224417153.jpg
 
Sasa ni saa 7 mchana, ikifika saa 10 hujaunizwa Kwa kichambo na Wachambaji njoo uchukue Kuku wa Kienyeji hapa NaneNane.
Ukweli ndio huo mataifa mengine hadi utasikia mkandarasi kutokana china wenyewe hawawezi
 
Kibiblia kwa sasa Taifa Teule la Mungu ni KANISA LA MUNGU siyo hiyo Israel ya sasa unayoiona,(1Peto2:8-10)
 
Wameteseka miaka mingi sana .

1.Utumwa Misri , Firauni aliwadhalilisha sana na kuwafanyia ukatili wa haki ya juu

2.Utumwa Babilon , huyu mwamba Nebuchadnezzar aliwala vichwa vibaya mno na aliwa mateso sana

3.Kutawaliwa na Roma, ndani ya ardhi yao wanakuwa watu wa kupangiwa sheria pamoja na kudharauliwa

4.Kufurumusha huko Makka na sehemu nyingine za arabian peninsula , vizavi vingi vya kiyahudi walitolewa wakiwa duni pamoja na kufukuzwa kama watu dhaifu

5.Mateso ulaya na kubaguliwa.

6.Nk

Nb:Kwa utakatifu wao na ujiniaz kea nini hawakuwa organized na kuja na mbinu madhubuti dhidi ya mateso na manyanyaso waliyopata kea miaka mingi zaidi ya Buku plus ?
 
We unazani ukiivamia Israel , Na kutaka kuiangamiza yote MUNGU atakuacha
Ile ilikuwa Ni ahadi , taifa lake Ni Israel
Kuangamizwa au kutoangamizwa siyo kipimo Cha kuwa Taifa la Mungu.

Kama ni kwa hoja hiyo,Mataifa yote duniani ni ya Mungu kwa maana Yeye ndiye kayafanya kutoka kwa Mmoja!
 
Kuangamizwa au kutoangamizwa siyo kipimo Cha kuwa Taifa la Mungu.
Kama ni kwa hoja hiyo,Mataifa yote duniani ni ya Mungu kwa maana Yeye ndiye kayafanya kutoka kwa Mmoja!
Labda nikuulize Unajua , taifa la Israel , limeanzishwaje
Anza from scratch
 
Watu hawa huwa wana pewa adhabu. Na Mungu kwakuwa kizazi huwa kinazaliwa kipya.

Na kikizaliwa kinashindwa kumueshimu Mungu.

Mungu anawaacha waende utumwa ni mpaka pale watakapo mkumbuka na kutubu anatafuta Mutu miongoni mwao mwenye kumheshimu awaongeze kutoka tena utumwa
 
Kibiblia kwa sasa Taifa Teule la Mungu ni KANISA LA MUNGU siyo hiyo Israel ya sasa unayoiona,(1Peto2:8-10)
Kweli kabisa,mtu yoyote anayekubali kumpokea KRISTO huyo ndio MTEULE,kitu ambacho Wayahudi wanagoma
 
Udini mbaya sana hasa kwa mtu ambaye unamfagilia halafu hana muda na wewe na yeye ana Imani yake huko na anaamini MUSA ndio Nabii Mkuu na hapaswi kupingwa.

Walipofika nchi ya ahadi,hawakuwa na mtawala mwanadamu,hivyo 'MUNGU' mwenyewe ndio alikuwa mtawala wao na alikuwa anawaletea MWAMUZI ambaye anapokea maagizo kutoka kwa 'MUNGU".

Sasa wazee wa Israel wakamwendea Nabii Samweli wakati huo ndio MWAMUZI,wakamwambia Mataifa mengine yana Wafalme wao mbona sisi hatuna Mtawala,na wewe ndio MWAMUZI lakini watoto wako hawafuati amri na shria za 'MUNGU".

Kitendo hicho kikamuudhi Nabii Samweli lakini 'MUNGU' akamwambia kawaambie watu hao kwa kuwa wamenikataa nisiwe Mtawala wao na wanataka Mtawala mwanadamu, basi Mfalme atawatumikisha, watamwinamia na atawatoza kodi. Hapa ndipo matatizo yalipoanzia hadi kufikia nchi kugawanyika baada ya Mfalme Suleimani kufa.Kukawa na Yuda na Israeli.

Kosa lingine ni baadhi ya Wafalme kuanza kuleta masanamu kwenye HEKALU,na kosa la mwisho ni kumkataa KRISTO,na wakasema damu yake iwe juu ya vichwa vyetu na wana wetu.
 
Sasa ni saa 7 mchana, ikifika saa 10 hujaunizwa Kwa kichambo na Wachambaji njoo uchukue Kuku wa Kienyeji hapa NaneNane.
Wavaa makobazi walioko Maneromango na Nanjlinji hawezi muacha salama
 
Back
Top Bottom