kwani simba na yanga walipocheza nani alikuwa zaidi?
Mkude ni kiungo mkabaji zaidi. Fei ni kiungo mwenye mwelekeo wa kushambulia zaidi. Ndiyo maana siku ya Yanga na Simba, Fei hakung'ara kwa sababu game plan haikumruhusu.
Haileti maana kuwalinganisha haws wawili.
Defensive midfield, lakini pia anaonekana mashambulizi mbele ndio maana Simba ni timu inayoshambulia zaidi kuliko kudefend, refer mechi ya Simba na Yanga, lazima upaki semi trailerMkude ni kiungo anaeongoza kwa kupiga pass nyingi nyuma ya goal lake kuliko pass za kuwalisha forward zake
Hata kama ni supposition. HAtuwezi kujua ukweli hadi itokeeHata kama Yanga wangekuwa na game plan ya kufunguka bado Fei Toto asingecheza mpira. Mkude pale Kati hakuna wa size yake, anakaba na anapeleka mpira mbele.