Ndugu wataalamu nimeambatanisha baadhi ya michoro mbalimbali ya nyumba/vyumba vya kupanga. Naomba Kwa mtaalamu yoyote aliye na sample zaidi za Floor plan ya nyumba au vyumba vya kupangisha atusaidie tutani. Ili tuongeze ujuzi na ubunifu katika ujenzi Wa nyumba/vyumba vyetu.
Nahitaji kufahamu michoro mizuri zaidi ya nyumba za kupanga inavyokuwa hata kwa michoro iliyokamilika (3D).
Muonekano wa Front View, Rear View inavyotakiwa kuwa Kwa Vyumba vya kupangisha vyenye Master bedroom only au vyumba zisivyokuwa na choo ndani.
Shukrani. [emoji120]
View attachment 2280315View attachment 2280316View attachment 2280317View attachment 2280318View attachment 2280319View attachment 2280320View attachment 2280321