Tutaona mikangafu ya kale na 110 Landrover zikijaa barabarani

Tutaona mikangafu ya kale na 110 Landrover zikijaa barabarani

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
448
Reaction score
170
Habari wakuu baada ya bajeti ya mwaka huu kutoa msamaha wa kodi kwa magari yanayodaiwa na kufuta Kodi ya mwaka unadhani magari bara barani yataongezeka?
 
Askari wa barabarani hawaangalii road licence tu, sasa leta scrapper yako barabarani uone wakati wamenyang'anywa cake mdomoni , hasira zote utazibeba
 
Hiyo mikangafu ije tu maana itakuja kuongeza pato la Taifa. Lakini msisahau kuwa Trafiki nao wapo kazini.
 
ee1ae6b35a2d1414e0c814245001d67e.jpg
 
Habari wakuu baada ya bajeti ya mwaka huu kutoa msamaha wa kodi kwa magari yanayodaiwa na kufuta Kodi ya mwaka unadhani magari bara barani yataongezeka?
Mama yako analo hilo mkangafu,ukiona mtu aliweza miliki kipindi hicho ujue alikuwa vizuri miaka ya mkapa na Mwinyi,Kipindi hicho wazaz wako wanatembea peku bila viatu,you are talking rubbish
 
Mkangafu Wangu na test tarehe 30/6/2017 kuanzia saa 6 kamili usiku, tarehe 1/7/2017 ndani road
 
Tulia wewe hili dude naliamsha, kamata fursa twende zetu
c5000c210d9fe1197f65f52c712b0df3.jpg
 
Sasa hivi kama una la urithi mwite fundi tuu unaingia barabarani.
Hahaaaaaaaa nimekumbuka pickup yetu home naenda kuifufua

Wakatafute mahali pengine pa kuanika nguo na kufuga kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom