Tutapona kwa Maradhi jamani?

hamuponi ng'ooo,,,,,,, hasa wanaumee,,, na we uliotuma hii nahisi ni mwanamume,,,,,,,,,
 
sijaona cha kuwazuieni kupona hapo, mbona paja la kawaida tu hilo? tena kuana wengine hawataki kama hayo, sasa hofu inatoka wapi? ukishindwa kujizuia oa ili upone
 
sijaona cha kuwazuieni kupona hapo, mbona paja la kawaida tu hilo? tena kuana wengine hawataki kama hayo, sasa hofu inatoka wapi? ukishindwa kujizuia oa ili upone
kuoa sio solution maana infidelity inachukua nafasi
 
tamaa tu zinawasumbua wanaume, hata wasipopona ni haki yao, sie Mungu atatuponywa kwa huruma yake

Hivi wanaume huwa wanajamiiana na nani hasa mpaka useme tamaa zinawasumbua wanaume?Mkiacha kutupatia hiyo kitu unadhani utaweza kutuambia tuna tamaa?
 
Miss Judy,wanawake nanyi pia mnahusishwa na infidelity

si nyie ndo mnaoyaanzisa? jizuieni basi halafu muone jinsi dunia itakavyojaa amani na upendo. tena ndoa zitakuwa mahali pa kukimbilia kama Mungu alivyotaka na sio kukimbiwa
 
Hivi wanaume huwa wanajamiiana na nani hasa mpaka useme tamaa zinawasumbua wanaume?Mkiacha kutupatia hiyo kitu unadhani utaweza kutuambia tuna tamaa?

kama nilivyojibu hapo juu, asilimia kubwa hayo mambo huanzishwa na wanaume na wamefikia hatua ya kudanganya hata watoto na kuwarubuni kwa vijisenti vyao. nyie mna vijisenti, sie tuna Mungu. Mungu atatuponya tu ili nanyi mponywe kupitia kwetu na hatimaye dunia nzima iponywe. amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…