Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Watoe tu. Maana washazuia hoja binafsi za wabunge.
Na kama yatakuwa mabovu uenda kuna mbunge angekuja na hoja binafsi.
 
huenda za Islamic seminary mwaka huu zikafanya vizuri!!!kama formula za kukotoa katika computer za masomo ya Islamic Knowledge zitakua sawa na zile za Divinity.Hapo mwanzo Total Marks za islamic knowlegde zilikuwa zinagawanywa kwa 3 badala ya 2.
 
Huku ni kutishana.wale vilaza matumbo yamoto,vijasho havikatiki yaani wanatetemeka ni balaa!!
 
Acha kuwarusha vijana roho juu! Njoo humu na hbr kamili!
 
Remote&liverpoolfc

sijawahi kuleta uzushi hapa jukwaani...
pia sio lazima kuchangia.
anyway hakuna anayekatazwa kuwaza anachofikiria
 
Hahaha mshaanza malumbano?
haya mambo ya tetesi yasha nichosha kuanzia post za ualimu hadi matokeo ya ualimu.
kama hamna mambo mengne ya kielimu si bora tunyamaze kuliko kutiana presha tu wakati serikali yenyewe mnaijua kwa udanganyifu!
 
Haraka za nini, subiri matokeo yaje then leta post hapa tuyajadili msianze kama post za ualimu na Mulugo watu mnakuwa kama vile mnaagua yaani hamna uhakika na mnachokizungumzia!
 

Huna lolote jipya humu,umekosa kazi ya kufanya unaweka post za upuuz humu!.........akili yako wewe mda mwingi inafikiria kwenda haja kubwa tu,usipobanwa ndo unaanza kuandika tetesi za ki-ass
 
jaman wadau kesho ndo cku ya kujua nin mwanao, mdgo ako au ndugu ako alichokipanda october mwka jan, k2 cha 4m4 kitatema so mkae krbu na hao wtoto wajise waka commit suicide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…