Ningependa kuzungumza na watanzania wote kuwa, popote tunapofanya mambo yenye mafanikio mazuri, subira na utendaji kazi mzuri ni vya muhimu. Kwa sasa tunauliza sana juu ya matokeo ya kidato cha nne. Nafikiri ni vyema tuache kuwatia presha ili wafanye kazi kwa ufanisi na watupe matokeo hayo kwa wakati. Naamini kuwa kama matokeo yakitoka inabidi tuyakubari kwa sababu wanaoyaandaa tunawaamini na wamepewa dhamana ya kufanya kazi hiyo. Namalizia kwa kusema, a developed state is a product of hard worker and responsible mass.