joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, sisi tutaanza kuzuia biashara isivuke mpaka.Tuanze na omba omba wa Tanzania, Kisha wachuuzi rejareja Kisha wauza nguo Kisha wauza matunda na vyakula. WaT.Z watakaobaki ni wale investors wanaoleta pesa nyingi Kenya. Lazima tujuwe nani baba nani mtoto hapa katika mechi hii.
Mlianzishe muone nani atapoteza zaidi.Ninachojua kuna wakenya wengi sana Wanafaidika na ujirani mwema zaidi ya watanzaniakukodisha shamba ni sawa iyo ni kama kuinvest lakini mkenya akuje Dar kuuza mahindi choma ama ku hawk karanga sio sawa
90% of English teachers in Tanzania are Kenyans...And they are preferred because they can interpret from English to Kiswahili...A Tanzanian cannot do that!Which job that a Kenyan does in Tz that a Tz can not do? There is no such thing. Kenyans in Tz have a privilege of working here only because they manage Kenyan owned companies or franchise... Not otherwise...
Kule mpakani mwa Tanga mpakani mwa TZ na Kenya watoto wa Kenya wanasoma Tanzania. Wanasoma Tanzania kwasababu primary education ni free. Je unataka ufanywe msako ili Wale watoto waende wakasome kwao. Many things Tanzania na Kenya wanaingiliana yaani ukitaka kuvuruga kuna mambo mengi chini ya kapetiWe have no kenyan selling cloths or running a small shop in TZ,We only have professionals who do work that cant be done by Tanzanians...Kenya will deport all mitumba sellers and retain only professional Tanzanians (If any) we cant have foreigners competing with Hoi Polloi of kenya.Matiangi is now working on that and expect Tanzanians with no work permits and omba ombas to be deported.
Kenyans have several companies in TZ and they employ many locals we need tanzania to come and invest in Kenya and not come for small small business.
This guys yelling about Jaguar's comments yet Magufuli is so Harsh on kenyans and kenyan products.
1.mlichoma kuku
2.mkauza ngombe
3.Denied Sylvia work permit
View attachment 1139856
4.made foolish rules which are harsh on Kenyan Products.
5.
Turudishieni wapendwa wetu huku Tz haraka tunawahitaji sana ,sie hatunashida ya kuchomana moto , sie tunawapenda binadamu.mambo yenu ya kuuana msituletee huku.Tuanze na omba omba wa Tanzania, Kisha wachuuzi rejareja Kisha wauza nguo Kisha wauza matunda na vyakula. WaT.Z watakaobaki ni wale investors wanaoleta pesa nyingi Kenya. Lazima tujuwe nani baba nani mtoto hapa katika mechi hii.
Hakuna kitu kama hicho things have changed more and more. Tanzania can teach and interprate in Kiswahili. Also my friend Kenya wanapendwa kwasababu ya uwezo wa English but Kiswahili of Kenya is not pure. Kiswahili in Kenya pure is only in the coast Mombasa and Malindi.90% of English teachers in Tanzania are Kenyans...And they are preferred because they can interpret from English to Kiswahili...A Tanzanian cannot do that!
Did you really understand my point?? Tanzania as a country is a Swahili speaking nation..Few know how to write and speak English...They have been bringing teachers on board to teach children English, especially kids of the elite people..The best suited people to do that are Kenyans, who can write and talk English and still can translate the same in Swahili to their kids...My point is, a teacher from Zimbabwe and Uganda stand less chances due to them not understanding the Swahili language...Kenyans Fit in well!Hakuna kitu kama hicho things have changed more and more. Tanzania can teach and interprate in Kiswahili. Also my friend Kenya wanapendwa kwasababu ya uwezo wa English but Kiswahili of Kenya is not pure. Kiswahili in Kenya pure is only in the coast Mombasa and Malindi.
Hili litakaa vizuri iwapo kenya tutawafunga leo! walianzishe halafu fundi atamaliziaWewe kama Kitoto tu hujui lolote
Kwa akili yako mnawaza Watanzania ndio watapoteza!!!
Unajua mie naombea hilo lifanyike tuone
We have no kenyan selling cloths or running a small shop in TZ,We only have professionals who do work that cant be done by Tanzanians...Kenya will deport all mitumba sellers and retain only professional Tanzanians (If any) we cant have foreigners competing with Hoi Polloi of kenya.Matiangi is now working on that and expect Tanzanians with no work permits and omba ombas to be deported.
Kenyans have several companies in TZ and they employ many locals we need tanzania to come and invest in Kenya and not come for small small business.
This guys yelling about Jaguar's comments yet Magufuli is so Harsh on kenyans and kenyan products.
1.mlichoma kuku
2.mkauza ngombe
3.Denied Sylvia work permit
View attachment 1139856
4.made foolish rules which are harsh on Kenyan Products.
5.
We have no kenyan selling cloths or running a small shop in TZ,We only have professionals who do work that cant be done by Tanzanians...Kenya will deport all mitumba sellers and retain only professional Tanzanians (If any) we cant have foreigners competing with Hoi Polloi of kenya.Matiangi is now working on that and expect Tanzanians with no work permits and omba ombas to be deported.
Kenyans have several companies in TZ and they employ many locals we need tanzania to come and invest in Kenya and not come for small small business.
This guys yelling about Jaguar's comments yet Magufuli is so Harsh on kenyans and kenyan products.
1.mlichoma kuku
2.mkauza ngombe
3.Denied Sylvia work permit
View attachment 1139856
4.made foolish rules which are harsh on Kenyan Products.
5.
hakuna mkenya house help tzTunataka kujua kama wana "work permit". Kuna wakenya wanafanya kazi kama " House girls/boys wengi tu. Sikilizeni, kama mnaweza, jaribuni kuwagusa watanzania huko Gikomba, msikilizie mziki wake, kama alivyosema Speaker wa Bunge la Tanzania, mkiamka mtastukia watanzania wamejaza hoteli zote za Nairobi wanakula "Breakfast".
Kwhyo kumfukuza mtu wa mitumba na omba omba ni makosa...bwahahaaa..Wewe kama Kitoto tu hujui lolote
Kwa akili yako mnawaza Watanzania ndio watapoteza!!!
Unajua mie naombea hilo lifanyike tuone