Tutatoa watanzania wote kenya unless they are professionals.

Unahitaji mkufunzi wa kiingereza naona kimekupiga chenga.
Turudishieni wapendwa wetu huku Tz haraka tunawahitaji sana ,sie hatunashida ya kuchomana moto , sie tunawapenda binadamu.mambo yenu ya kuuana msituletee huku.
Omba omba na machangundoa muwakujie tu...walijileta wenyewe.

Kenya primary school na secondary ni free. Kawadanganye midanganyika vijiweni.
CCM imewashinda, Koroshow imewashinda, ATCL imewashinda, Bagamoyo imewashinda, SGR pia imewashinda, Sasa usijidanganye Kenya mtaiweza labda mbugie minofu ya albino mteremshe na kinyesi afu mje mpambane na Kenya.

Hio bombadia mlinunulia betri?
Hakuna kuchagua nani ni nani, mwageni mboga tutamwaga ugali period!

Iddi Amini alileta utoto huo huo mpaka leo Uganda heshima na adabu. Jifanyeni kama mnajikuna ndio mtaona mziki wa wabongo ulivyo. Msituletee uree hapa!

Tanzania hikuichapa Uganda bali
ilisaidiwa na Waganda kumuondoa Idi Amin. Hamna Vita mshawahi shinda peke yenu hata Komoro mlisaidiwa na Ufaransa, kwa hivyo huo mziki mtausikiza wenyewe.
 
Wanekodishiwaje shamba basi...km ni hvo wakikutwa bila vibali itakua serikali yeni ni ya hovyo..
 
Ndugu, ungekuwa mkali hivi wakati wakulima wa Koroshow wananyanyaswa, omba omba wa hawangekuwa wamerundikana Kenya na Tz ingekuwa mbele Sana. 😂😂😂
 
Hawa wakenya ni stupid
Hawawezi kutupangia au kutupeleka wanavyotaka wao na kama ndiyo hivyo na sisi pia tutawapangia tunavyotaka sisi

Wanasema hawataki unskilled kutoka tanzania huwenda wako sawa kwa mtazamo wao hasi

Lakini pia sisi tutakuwa sawa tu na wao kimtazamo kwamba hatuwahitaji wakenya kwetu ambao ni professional
Tuko zaidi 50mil hapa hakuna fani iliyokosa wenyewe humu

Uwepo wa
wakenya hapa ni sababu tu za kibinadamu za kuhama hama kutafuta wapi ni bora kwao na kugundua fursa zilizopo mahali husika
 
acha uongo wew, ni Hotel gan hizo, ilikuwa zaman not now days
 
Trum alisema Afrika kuna Shit hole Countries!!

Siasa za Kishamba zinawagharimu waafrika.
Kule Afrika ya kisini Waafrika wanaua waafrika wenzao.
Afrika wanawekeana vikwazo na makodi na vibali kila nchi halafu wanadhani wataendelea kwa kila nchi kuikumbatia China badala ya kushirikiana na kufuta vikwao kwa waafrika kuishi popote alimradi wasifanye uhalifu.

Tanzania kuna utajiri mkubwa sana lakini Sera za kimaskini zinawafanya watanzania wanakimbilia nchi jirani kufanya biashara mpaka zile ndogo kabisa.
Makodi kibao watu hawapati faida.
Kwa sasa wamachinga ndio waranyabiashara wa Kariakoo.
Maduka yanakufa.

Kenya nao wanabaguana wenyewe kwa wenyewe na sasa wameanza kubagua wageni.
Hawatabaki salama wakianza kubagua wageni.

Ubaguzi haunaga sherehe ya ushindi .
 
Kumbe shida yenu ni Watanzania. Hii inaonyesha mna chuki na Tanzania wala sio foreigners. Mwaga mboga tunamwaga ugali, mkijaribu fukuza hata mmoja amini nakuambia hakuna Mkenya atakayesalia Tanzania. Tena tutaanza na CEO wa Barclalys aliyetajwa na mbunge wenu
 
Unachekesha wewe.
Hiyo story umeitoa ktk kiosk cha kahawa ama.?!
Aya basi sema na wale M-23 waliopigwa mpk kuja AFD kule Congo wamesaidia France.
 
And we shall deport all including the so called professionals as we do have all professionals in excess.

How is that !!
 
Hakuna kuchagua nani ni nani, mwageni mboga tutamwaga ugali period!

Iddi Amini alileta utoto huo huo mpaka leo Uganda heshima na adabu. Jifanyeni kama mnajikuna ndio mtaona mziki wa wabongo ulivyo. Msituletee uree hapa!
Kwani bongo mna nini ya kututisha. Mna mak*nde ya chuma?
 
hakuna mkenya house help tz
Ni sababu huwez mpiga picha MTU afu nije kumweka humu sio fresh BT wapo sema hawana shida..sio kisa wewe umeongea ujinga ndio npate hasira kwa MTU alie poa anajitafutia riziki
 
Uharo wa mwaka hili sio povu hahshah
 
dont you think mngeanza na non-africans kama wachina na indians? au mnawaogopa?
 
Unachekesha wewe.
Hiyo story umeitoa ktk kiosk cha kahawa ama.?!
Aya basi sema na wale M-23 waliopigwa mpk kuja AFD kule Congo wamesaidia France.
walikuwa wanasaidia Ufaransa?? Haya nayasikia na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…