Tutawasaidiaje hawa

Tutawasaidiaje hawa

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Wanawake wenye makalio makubwa wanapata shida sana kariakoo hasa wanapotembea mizigo ikitikisika

Tufanyaje ili jamii iwaone ni binadamu kama wengine

Mwenyezi mungu kawaaumba hivyo na maumbo makubwa lakini jamii inawanyanyasa sana
 
Wawe wanavaa ski tight zinazobana wasivae kama mtego wapate wanaume wenye pesa wawatongoze waambie
 
Kama wanapata tabu waambie watafute dawa ya kuyapunguza!
 
Back
Top Bottom