Tutaweka wapi sura zetu kwa aibu hii kama taifa

momara

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
463
Reaction score
491
Tumejitahid sana kuhamasishana na kujitokeza kuishangilia timu yetu ya taifa, huku tukijipa moyo kuwa Uganda hana cha kupoteza kw kuwa ameshafuzu. Nasikitika sana kuona siasa na ahadi nyingi kutoka kila upande mpaka unaweza kudhani ni pongez kw ushind baada ya ushindi kumbe la hasha. Muda mwingne nawaza pengine tumeinunua mechi kwaiyo uhakika wa kushinda upo kwaiyo watu ni kama tunaandaliwa kisaikolojia baada ya kuikosa fursa hiyo kwa miongo kadhaa. Ila kama itakuwa ni mchezo kama mchezo wa ushindani basi mechi itakuwa ngumu sana kwa upande wa stars hasa kw wachezaj kutokana na tension kubwa iliopo kw sasa ndani hadi nje ya uwanja. Pengine leo tushinde hii mechi ila ikiwa kinyume chake najiuliza hawa political figures na celebrities wataweka wapi sura zao na ili hali wanajua uwekezaj wetu kwenye soka ni wa kiwango gani. Hatujawekeza kwny soka na tunataka matokea kw hamasa tuu, hamasa haichez soka, soka ni uwekezaj.

Hembu wadau niishie hapo kwanza tukutane baada ya mechi ila nimeota stars kashinda kwa goli moja, ila bahat mbaya zaid ni kuwa ndoyo zangu zinakuwaga kinyme yaan

Tanz. 0 Ugn. 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya TZ washamba wamekuwa wengi sana, hata sehemu maarufu za kazi kumekuwa na watu ambao kufeli na kufoji ni kawaida waka sio ishu kwa yeyote
 
Wewe hutaki kuhasisha mashabi kujaza uwanja.....ulitaka tusiende uwanjani
 
Tanzania inashinda mechi ya hapa wasi wasi wangu mechi ya Cape Verde kule....Lesotho nao watacheza kufa na kupona lolote linaweza kutokea kule
 
Mkuu wala usiwe na hofu Stars lazima inashinda. Nadhani unajua uhusiano mzuri uliopo kati ya Jiwe na M-7. Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda kilichoitwa umekisikia lkn!?? Uganda wanaibeba stars ndo maana unaona hamasa ni ya kisiasa zaidi kuliko mazingira halisi ya mpira wenyewe.

Ili kuficha hiyo aibu ya kubebwa,inafanyika siasa ili kuwafumba macho CAF wasiichukulie hatua The cranes. Lkn ukweli ndo huo Stars inashinda hii mechi kwa ulaini kabisaa!! Tatizo wamesahau km Lesotho wana kiu zaidi ya kufuzu kuliko hata sisi. Hivyo km ni maombi naomba yaelekezwe zaidi ktk mechi ya Lesotho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Internet ipi itatoa live meaning channel ipi kwa sisi tusio na TV.
 
HiyO ya Lesotho ndi MATAPUTAPU yatkuwa bureeee sio Tena nusu au robo Bei
 
Haya tuambie tatizo liko wapi sasa
Mkuu nimreleza kila kitu ktk uzi in Summary . Watu hawatak kuwekez Ktk soka wanaleta hamasa tu. Jiulize mpak sasa ligi yetu haina hata mzamin tangu voda wajiitoe. Timu zinayumba wachezaj njaa tupu tim ziko hoi kiuchum. Chukulia mfano yanga iko hoi vp kuhusu tim nyingn kama ndanda, lipul, cost na zingne. Leo unaahid 10m kw kina samata, msuva wakat hao walishafanikiwa huo sio uwekezaj ktk soka mana si kitu endelev na baada ya mech kamat inavunjw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko sawa na mm ila ikiw kinyume chake sasa. Sijui tusubir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…