tutaweza kama AbuDhabi?

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855


Natazama AD F1 grand Prix ambayo ujenzi na kila kitu kimechukua only 2 years na ni kisiwa cha YAS MARINA ndiko mambo yote yamefanyika


mara ohh waarabu wajinga mara ohhh hawakusoma lakini kwa pesa zilizoingia leo pale kwenye hii F1 its clear inabidi turudishe udicteta tuuu na kufunga sites kama JF walau watu watarudi kufanya kazi

Congrats to AD
 
Tungeshakuwa zamani kama siyo uzezeta wa viongozi wa CCM from very beginning!
 
Jikune pale unapoweza. Usitake kushindana na mtu mwingine kwani uwezo ni tofauti. Mwaarabu ana mapesa ya mafuta utamweza?. Hata tungezuia wizi wa EPA usitokee, tuue rushwa kabisa bado hatuwezi kumfikia mwarabu.
 
wewe unayetufananisha na abudhabi nenda shule kwanza pengine utaiona tofauti ya kulia na kucheka
 
Tungeweza kama sio uzezeta wa serikali ya mafisadi kuwaruhusu wakina SIN CLAIR kukomba madini yetu!! Sasa na Iran wanangojea kuchukua URANIUM kama malipo ya fedha yao waliyowekeza kwenye uchaguzi wa mwaka 2005!! G.T. upo hapo?
 
Again,nataka nikueleze kwamba Sinclair ni rafiki mkubwa wa Ganesh.
Ukisoma Hindu Scriptures,utaona kwamba Ganesha ameishi miaka elfu nne iliyopita. Lakini huyu Ganesha anafika nyumbani kwa Sinclair kunywa chai. Yaani,materialization.
Sasa,u siniulze tena,''how?'' I have said all that I am going to say about it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…