samsiz
Member
- Dec 23, 2012
- 64
- 51
ule usemi ngombe wa maskini hazai sasa ivi naushuhudia kwa macho yangu,kijana wakiume kupata mke kama maisha yake duni tusahau ilo ,binti anachat ukimwambia financialy haupo vizuri ansepa hahahaaa mimi nimetafuta hadi imefika muda nimekubali matokeo no money no love na kama itaendelea ivi kuna uwezekano hata mtoto nisipate.