Tutazeeka ma bachela aisee

Tatizo wewe unatafuta akina Giggy na Kajala; utaishia kuwaona kwenye Tv na magazeti tu.

Chukua akina Mwajuma, Maimuna, Zinduna, ambao ni level yako.

Mbona wapo wengi tu mjomba.
Tena wanashinda kwa Wachungaji na Masangoma ili wakupate hata wewe wa level yao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sio graduate wa chuo am just ahigh school gdt with no job no busness
Mwanaume huwezi kusema huna kazi yaan hata kuchimba mitaro huwezi unaamka asubuhi na kukaa tu nyumbani??
 

Yaani kipimo Cha Kwanza ni kukupiga mzinga...ukkshindwa tuu unakuwa deleted.
Hawa usiwaonee huruma maana was hawanaga huruma kuelekea kwetu.
 
Wanawake wanapenda pesa tatizo lako weww upo busy kutafuta wanawake wakati wenzako wanataka pesa ipo hivi focus kwenye kutafuta hela tu vitu vizuri vyote vitakuja kuifata hela yako
 
Ndipo tulipofikia kabisa kabisa.Na kama hufanyi kazi nzuri nzuri ktk ofisi fulani ndo unadhalaulika sana.Tukubaliane kuzeeka mabachela tusio na hela.

Mungu anajua shida zetu.
 
Unachokisema kiasi furani kina ukweli wake ujue, but piga moyo konde one day Yes hauko peke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…