Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni.
Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za huru na haki kama ikitokea uchaguzi unakuwa wa huru na haki kwa 80 % basi tutakuwa tumepata uelekeo wa uchaguzi wa 2025.
Hivyo basi uchaguzi wa serikali za mitaa na ushauri kwa CCM hacheni uamue nani au chama kipi kina nguvu lakini CCM mkijidanganya kutumia dola kama 2020 basi itakuwa ngumu kutabiri mnakiwango gani cha kukubalika na wananchi.
Kwahyo 4R za Dkt. Samia inatakiwa zikapimwe na wananchi, wala siyo dola kwahyo naomba sana muhache 4R zifanye kazi zikifanya kazi tutajua chama gani kina nguvu, chama gani kijipange upya, chama gani dhaifu.
Uchaguzi wa serikali za mitaa tuchukulie kama nusu fainali kuelekea fainali.
PIA KUHAMA KWA WANASIASA
Kwakuwa nchi yetu ina wanasiasa malaya sana, baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa tutegemee malaya wa kisiasa wengi kuhama vyama kujiunga na CCM kwa mikoa ambayo inanguvu CCM,pia kujiunga na CHADEMA hasa mikoa yenye nguvu kwa CHADEMA hasa kanda ya ziwa, Kaskazini, mkoa mbeya, pia kwa ACT-WAZALENDO kule kigoma, Lindi, na Mtwara.
Kwahyo vyama vya siasa vitegemee kupata wageni mbalimbali.
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Pia vijana ambao mnachipukia kwenye siasa kuweni makini kupoteza nafasi zao kwakua wageni watakuja chukua nafasi zenu.
Kwahyo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muamuzi wa 2025 ila tu kama utakuwa huru lakini sina hakika kwenye uhuru