Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
wanayanga kitu muhimu cha kutegemea kutoka kwa kocha mpya mu-algentina ni ubora wa soka usishuke ila uzidi kupanda kiasi cha kuzionea timu nje ndani na za kimataifa.
Ninachowataka Wanayanga wenzangu na uongozi ni kukubali ya kuwa kila kocha anakuja na mfumo wake wa ufundishaji ambao kwa kiasi kikubwa inategemea wachezaji alowakuta itawachukua kiasi gani kuuelewa haraka.
Kocha Nabi alibahatika sana kupata wachezaji ambao iliwachukua muda mfupi sana kuuelewa mfumo wake na matunda yake Yanga kuingia Fainali ya makombe ya CAF.
Mungu ibariki Yanga! Mungu wabariki viongozi na wanachama wa yanga wapate hekima ya kujua kushinda na kushindwa ni moja ya hatua ya kujenga mbinu bora za kukuza ubora wa soka.